Tuesday, April 14, 2009

JINSI YA KUBEBA WATOTO KWENYE TOROLI AU MGONGONI (1)


Angalia jinsi anavyopata shida kuingia ndani ya basi na hili toroli. Swali je wewe ungependa njia ipi ya kubaba watoto?

4 comments:

♥♥♥♥♥ Jennifer™® ♥♥♥♥♥ said...

your blog is so good

Yasinta Ngonyani said...

Thank your Jennifer and you are so welcome here

John Mwaipopo said...

Huyo jennifer anaonekana anapenda kubeba watoto kwa vitololi. Uzuri wa vitololi nishati ya kubeba mtoto kukinzana na gravitation force ni ndogo kuliko ya kubebea mgongoni.kwenye kitoroli gravitation force inahamia kwenye chombo hicho. mgongoni mtoto anakuwa sehemu ya wewe, na pengine mgongoni kunauonyesha ukaribu na undungu na mtoto mhusika.

Albert Kissima said...

Kama alivyosema Mwaipopo hapo juu, kumbeba mtoto mgongoni kuna mfanya mtoto awe karibu na mama/baba yake lakini kasoro ninayoiona ni kwamba mtoto hawi huru(kwani anakuwa amebanwa na kanga) kama anavyokuwa kwenye kitoroli.