Wednesday, April 15, 2009

MGANDA+BURUDANI/UTAMADUNI=MAISHA

Kucheza ngoma za asili sio suala la mabududisho tu, bali ni sehemu mojawapo ya kudumisha utamaduni wetu.

17 comments:

Simon Kitururu said...

Kweli kabisa!

PASSION4FASHION.TZ said...

Hahahaha! wakunyumba hao kumekucha si mchezo!

Yasinta Ngonyani said...

Simon kazi kweli vp?

Passion4fashion.Tz, tena sana kumekucha hapa hao kule kulw kunyumba mpaka asubuhi twiwuka lepi mpaka timalayi ugimbi.....nadhani mnajua huu wimbo unaishia vipi?

Anonymous said...

hiyo ndio ngoma ambayo jamaa wanaocheza wanakuwa smart, halafu wanacheza kwa madaha. Wamanda ndio maarufu sana kwa hiyo ngoma, na akina mama wanacheza chihoda.
long live kunyumba, sweet home du, nyumbani ni nyumbani

MARKUS MPANGALA said...

NITAUFIA UAFRIKA WANGU KWA KUCHEZA NAMNA HII. NAPENDA SANA

Nampangala said...

Mdala wa bambu mbona umenikumbusha mbali, mganda, mbeta, kioda, bila kusahau chomanga nakumbuka enzi zile pale kwa jumbe idi kulikuwa na kikundi kabambe kweli kweli cha kucheza chomanga. unkumbuka chomanga mlongo?

Yasinta Ngonyani said...

kutokayi kujova nikumbuka sana, ukosiwi lizombi au ulimanyili lepi. Nipatili raha kweli kwa kunigendela. Karibuni sana mlongo

Anonymous said...

Nampangala unikumbwisi kunyumba, pa jumbe idi tete tiyovalili kupita mulibasi au pabasikeli. mwee, kadeni wabambu vakalihamba kulolelela chihoda na chombanga kusudi vahagulayi vadala va kugega. na vadala vakalita mewawa kuloleleha lizombi, kulala yani amanyili kukinanisa chiwunu.

Yasinta Ngonyani said...

Ha ha ha hahaaaa mwa wandu nyeye mkunipela raha kweli na mkunihekesa sana kweli kunyumba nga kunyumba kukinanisa (kuningínisha) chiwino.

Bennet said...

Wakina nyumbi hii bombi hii huwatoi kwa ngoma hii

Yasinta Ngonyani said...

Bennet hao wandendeuli bwana. Umewahi kusikia wakishika nishikia gari nipande nyengo. Halafu mimi nataka nikaee na dereva ili nifike haraka:-)

Nampangala said...

Mlongo wangu, Lizombi? nikosiwi lepi kumwana monga kwa lizombi bwana kotakujova, Nikosiwi lepi Ugali wa Bundula na chikandi cha matevele ha ha ha, pia kimbwinya. Ni kweli nakumbuka kabisa alivyoandika mlongo wangu juu ya wabambu vakalihamba kuchomanga kuhagula mdala va kugega, mulibasi la matimbula au la komba iyo ni songea - peramiho

Yasinta Ngonyani said...

Yiwonekana nikukumbushi kweli kunyumba nikuwikilayi basi na lizombi au ujova woli? Hata niwona raha kweli kujova cha kunyumba

Nampangala said...

Ni longi lepi cha kunyumba magono gamahele sana, mdala wa mambo unikumbushi kutali sana,enzi ya mdojolela Ubalikiwe sana. lelu mwanawangu ilalwa chifua (lumonia)nimpeliki kuhospitali vampeli penicillen, ivembe sana nigoni lepi cha bwina. nichokili sana

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana mlongo wangu aga ndio maisha. Ukavyvahi na wana ndi naha. mpelayi poli sana. hata nene nigoni lepi nikavili kumahengu nikagonili kukuku. nimwuyili kunyumba muhi

Anonymous said...

Nampangala unipela raha sana namuyaku. kumwangamonga nikumanyili sana tuyi, si nde kwe ihuma yorudani mwe akavili dereva wa padiri Kelemenzi wa kuperamihu? nihikili nene kumwanamonga kupitila kunamanditi. kwa jumbe idi nikalipita na mabasi gamahele, kukavili na jembe ni mali la kumagagura, lugali na lituhi ga kumbinga, halafu likamweli hinju yatembo, verisi, matimbula, komba, basikeli na kadhalika. pole sana kwa kulwasa mwanawaku. Yasinta, mganda kwa asili ni ngoma ya kunyanja, vandendeuli vajifunzili tu badayi sana, vamanda ndio vikina sana ngoma hiyo naha! nene niuganili mganda ndava vevikina vivala chabwina sana, halafu vamanyili kumeka sana.

Subi Nukta said...

Nimefurahi kuiona japo kidogo kwenye blogu ya kaka Michuzi, ameweka video hapa (bofya kuitizama)