Toroli linakuwa zuri kwenye nchi za wenzetu ambako pia kuna miundo mbinu ya kuendeshea hilo toroli, lakini pia linafaa uwe na usafiri binafsi kuepuka adha anayokutana nayo huyu dada kwenye mabasi Kwa hapa nyumbani mwendo mdundo kwa kubeba mtoto mgongoni kwa sababu hicho kitoroli hakina hata sehemu ya kuendeshea, ingawa ni rahisi sana kubeba mtoto kwenye toroli.
3 comments:
Toroli linakuwa zuri kwenye nchi za wenzetu ambako pia kuna miundo mbinu ya kuendeshea hilo toroli, lakini pia linafaa uwe na usafiri binafsi kuepuka adha anayokutana nayo huyu dada kwenye mabasi
Kwa hapa nyumbani mwendo mdundo kwa kubeba mtoto mgongoni kwa sababu hicho kitoroli hakina hata sehemu ya kuendeshea, ingawa ni rahisi sana kubeba mtoto kwenye toroli.
Mimi napenda zaidi kubeba mgongoni hasa unapotaka kupika na kufanya kazi nyingine mikono inakuwa huru
Mtoto anatakiwa kuanza kubebwa mgongoni kuanzia umri gani?.
Post a Comment