Nimeiangalia hii video. Inasikitisha, lakini ni kioo cha jamii yetu, kinachomulika yanayofichwa. Video hii ni muhimu kwa kufundishia hali halisi ya jamii yetu. Labda wengi wakiiona wataweza kuguswa wakaanza mkakati wa kuleta mabadiliko.
inasikitisha sana kwa kweli.
Nimesikitika sana.kama utakumbuka niliwahi kuandika habari ya hawa ma house girl na madhila yao.Shukrani kwako na kwa dada Subi kwa kukumbushia hili.
nahisi hii haitapata comment nyingi kwa vile wengi wetu inatukumba, majumbani kwetu tuna hawa mahousi girl na hatuwafanyi kuwa kama sehemu ya familia zetu, wanalea wanetu lakini tunawaona ni kama vitu fulani tu, hatuwapi umuhimu fulani katika nyumba zetu.
DA YASINTA HIVI HUYU ASIYE NA JINA NI NANI!!!!!!!!!!???????
Prof. Mbele,Kama nilivyosema nikiwa mzazi na pia mwanamke kwa kweli nimeguswa sana kuona bado watu wengine wanatutesa, kutunyanyasa na pia kupigwa namna hii.We usiye na jina ndiyo inasikitisha kweliKoero, Asante Ila kwa kweli kuna wanaume wakatili sana kweli anathubuthu kumweka mtu alale na mbuzi, We usiye na jina una maana gani kusema hivyo????Koero hata sijui ni nani kwa kweli
duh! ni kweli haya ndiyo yanayotokea.wakati nikisoma kuliandaliwa mdahalo uliokuwa ukijadili ajira kwa watoto na mkazo ulikuwa ajira za uhousegirl. nakumbuka mwanafunzi mwenzangu alimchallenge mwalimu wa kike aliyekuwa ameandaa mdahalo huo kuwa anapiga kampeni dhidi ya huu unyanyasaji wa watoto wa kike ilhali kwake ana housegirl anaeteseka pia. sijui nini maana yake. lakini Mahatma Ghandhi alisisitiza 'u must be the changes you wish to see in the world'sisi tulio na mahousegirl majumbani tunapaswa kuwa wa kwanza kuwakomboa.kiukweli inasikitisha sana tena mno.ni hayo tu!
Very interesting opportunity of housegirls, cooperation to overcome the difficulties it is very important, my dream is that finally the African continent and all the people with difficulty, can one day be happy and serene. But unfortunately that day is far away. Hello Yasinta, a hug Marlow
Post a Comment
8 comments:
Nimeiangalia hii video. Inasikitisha, lakini ni kioo cha jamii yetu, kinachomulika yanayofichwa. Video hii ni muhimu kwa kufundishia hali halisi ya jamii yetu. Labda wengi wakiiona wataweza kuguswa wakaanza mkakati wa kuleta mabadiliko.
inasikitisha sana kwa kweli.
Nimesikitika sana.
kama utakumbuka niliwahi kuandika habari ya hawa ma house girl na madhila yao.
Shukrani kwako na kwa dada Subi kwa kukumbushia hili.
nahisi hii haitapata comment nyingi kwa vile wengi wetu inatukumba, majumbani kwetu tuna hawa mahousi girl na hatuwafanyi kuwa kama sehemu ya familia zetu, wanalea wanetu lakini tunawaona ni kama vitu fulani tu, hatuwapi umuhimu fulani katika nyumba zetu.
DA YASINTA HIVI HUYU ASIYE NA JINA NI NANI!!!!!!!!!!???????
Prof. Mbele,Kama nilivyosema nikiwa mzazi na pia mwanamke kwa kweli nimeguswa sana kuona bado watu wengine wanatutesa, kutunyanyasa na pia kupigwa namna hii.
We usiye na jina ndiyo inasikitisha kweli
Koero, Asante Ila kwa kweli kuna wanaume wakatili sana kweli anathubuthu kumweka mtu alale na mbuzi,
We usiye na jina una maana gani kusema hivyo????
Koero hata sijui ni nani kwa kweli
duh! ni kweli haya ndiyo yanayotokea.
wakati nikisoma kuliandaliwa mdahalo uliokuwa ukijadili ajira kwa watoto na mkazo ulikuwa ajira za uhousegirl. nakumbuka mwanafunzi mwenzangu alimchallenge mwalimu wa kike aliyekuwa ameandaa mdahalo huo kuwa anapiga kampeni dhidi ya huu unyanyasaji wa watoto wa kike ilhali kwake ana housegirl anaeteseka pia. sijui nini maana yake. lakini Mahatma Ghandhi alisisitiza 'u must be the changes you wish to see in the world'
sisi tulio na mahousegirl majumbani tunapaswa kuwa wa kwanza kuwakomboa.
kiukweli inasikitisha sana tena mno.
ni hayo tu!
Very interesting opportunity of housegirls, cooperation to overcome the difficulties it is very important, my dream is that finally the African continent and all the people with difficulty, can one day be happy and serene.
But unfortunately that day is far away.
Hello Yasinta, a hug Marlow
Post a Comment