Monday, April 27, 2009

MFARANYAKI KWENYE KIWANDA CHA KUTENGENEZA FANICHA


9 comments:

Anonymous said...

du palepale pa mfaranyaki, panyumba yitu hapo! Asante kwa picha Yasinta, leo umetupeleka nyumbani kabisa, mitaa ya kwetu on the way to Lizaboni

Yasinta Ngonyani said...

Kunyumba nga Kunyumba. Yah mpaka Kulizaboni kwa makukula kupata kitimoto:-)

Anonymous said...

yeah, kwa Makukula kulya nyama ya liguluvi!! ud nimeimiss sana ile bucha ya Makukula! lakini siku zitafika tu nitarudi home kufurahia maisha ya nyumbani!!

Yasinta Ngonyani said...

Nadhani ukienda utapotea ameiboresha safi sana Bahati mbaya nikosiwi kufotola ye picha yene

Albert Kissima said...

Hivi ni miti gani hasa inatumika huko kwa ajili ya fanicha? Ile inayopendelewa hasa.
Vp kuhusu ukataji wa miti? Kiwanda kinapata wapi miti au mbao? Kwani ninahofia uharibifu wa misitu.

Binafsi napendekeza ulimwengu wa sasa utumie sana chuma kuliko mbao ili kupunguza uharibifu wa misitu na kudumisha au kuboresha mazingira.

Ni hayo tu dada Yasinta.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Kissima hiyo ni mti pori. Nakubaliana nawe ukataji miti upo hata mie nina hofia mwisho miti yote itaisha kwani nadhani watu tunakata tu na tunasahau kupanda mingine kwa ajili ya baadaye.Tunasahau kuwa miti ni uhai.

Anonymous said...

kaka Kishima hakuna kisichokuwa na madhara kwa uharibifu wa mazingira. uzalishaji wa chuma nao husababisha uharibufu mkubwa wa mazingira!!

Unknown said...

nimekuelewa bro

IFOLONGO said...

Natoa pongezi kwa habari nzuri kuhusu maisha na mafanikio. Napenda kupata taarifa kuhusu mchango kwa sekta mbalimbali katika kuinua uchumi wa Tanzania hususani MIFUGO.