Monday, January 3, 2011

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA MFALME MROPE


Nakutakia kila la kheri sio leo tu ila kila wakati utakapofanya jambo/mambo yako. Kaka huyu anapatikana hapa. HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA!!! .

8 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongera kaka Mrope. Uwe na miaka mingi na baraka nyingi na mengine mengi mazuri. Ameni.

Mwanasosholojia said...

Hongera saaaana Bro, uzidi kukata miaka uwaone wajukuu wa wajukuu zako!

emu-three said...

Hongera sana mkuu, kumbe siku kama hiyo ulikuwa kichanga. Baraka zikushukie mkuu, uwe mfalme wa kikwelikweli!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

hongera sana mkuu! Tukaribishane hao samaki nchanga...lol!

mumyhery said...

Happy Birthday Kaka Mrope

EDNA said...

Hongera sana kaka.

Rachel Siwa said...

Hongera kaka Mrope!ubarikiwe sana.

Penina Simon said...

happy birthday bro