Saturday, January 15, 2011

JE UNAJUA HAPA NI WAPI AU HILI JENGO NI NINI?

Nimelipenda jengo hili picha kwa idhini ya kaka Jacob Malihoja.......

4 comments:

ALINDWA BANDIO said...

Nimejaribu angalia vizuri na kuvuta Jografia ndogo niliyonayo kuhusu Nchi yangu ali sijafanikiwa jua ni wapi. Lakini kimazingira bado mawazo yananifanya nizidi amini kuwa ni TANZANIA labda tu niombe msaada wa kujulishwa ni eneo gani hilo katika miko aya kusini juu kama sio Kaskazini

Unknown said...

Mmmh hapa sijui ni wapi! Labda Peramiho? Nabahatisha tu!!

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa kujaribu kujibu swali hili kaka Alindwa na kaka Mrope. Ila nitawasaidi kiduchu: Hilo jengo ni shule ya Serikali na ina wanafunzi wasiozidi 300. Ni shule ya wavulana, ipo Mkoa wa Mara. Sasa nadhani mtaweza kujua ni wapi:-) karibuni!!

Jacob Malihoja said...

Ndugu Blogers,

najua wengi imewapa tabu sana kutambu picha hiyo .. ki-ukweli hiyo ni shule ya sekondari ya Oswald mang'ombe iliyopo kata ya Buswege, musoma vijiji. Shule hiyo ni moja kati ya Shule kadhaa za kisasa, za kimataifa zilizojengwa na Mhe. Nimrodi Mkono na kisha kuikabdhi Serikali. kama mlisikia hivi karibuni anataka kupora shule zake kwasababu hazihudumiwi vizuri hiyo ni moja wapo! Kwakweli ndugu .. nimetembelea shule mbalim mbali Ulaya,shule hiyo ina hadhi ya kukaa katika nchi yoyote hapa duniani!!! si utani ... waliofika watakuwa mashahidi wa kutosha!