Wednesday, January 19, 2011

TAFAKARI YA LEO:- MAISHA

Wakati mwingine tunaweza kuyaona maisha hayana maana/hakuna haja ya kuishi. Lakini hakuna Mungu ambaye kila wakati yupo kwa kubadili hali hiyo. Tusipoteze imani /tumaini yetu/letu, kwa Mungu kwani mwisho atakuja kubadili hiyo hali. Kumbuka hata kama mti uliukata kuna tumaini /imani siku moja utaota tena.

5 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Kwani [tumekuja na nini duniani]? Kitabu cha Ayubu (JOB 1:21)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mh ila sasa

ADELA KAVISHE said...

ni kweli ndugu yangu maisha hayatabiriki ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo

emu-three said...

Mungu yupo na anasaidia kwa mja wake. Cha muhimu ni kutokukata tamaa, ukiua kuwa unatakiwa uihangaikie dunia yako kama vile utaishi milele. Na muombe sana kama vile utakufa muda wowote ule.
Maisha ndivyo yalivyo, kuna kupanda na kushukam yote ni kwa aili yetu. Ukipata shukuru mungu na ukikosa shukuru mungu!

Anonymous said...

Mlongo apa umenikumbusha Lilambo enzi hizo hii kazi ni kali sana nawasifu wakina mama wa naishi mazingila kama haya hawa ni wanaweke wa shoka.