Friday, January 6, 2012

TANZANIA YETU NA UZURI WAKE....


Nawatakieni IJUMAA HII YA KWANZA YA MWAKA HUU 2012 IWE NJEMA PIA USIKU, MCHANA AU JIONI AU LABDA ASUBHI NJEMA Mie hapa ni saa kumi na mbili jioni.

2 comments:

ray njau said...

KARIBUNI TANZANIA KWENYE ARDHI YA MLIMA KILIMANJARO,VISIWA VYA ZANZIBAR,MBUGA ZA SERENGETI NA DARAJA LA KIBIASHARA KWA NCHI ZA ENEO LA MAZIWA MAKUU KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray naungana nawe ni kweli kabisa:- Tanzania ni moja ya nchi yenye vivutio vya kipekee katika bara la Afrika ambalo bado wengi hawahagundua. Ni nchi ya ajabu. Ebu angalia mlima wetu Kilimanjaro, juu ya theluji ya kudumu, kisiwa cha Zanzibar, na mbufa nyingine kama Serengeti, Tarangire, Ziwa Manyara, Ngorongoro Crater, Ruaha, Selous na Hifadhi ya Bahari ya Kisiwa cha Mafia ni chache tu lakini mifano hai.KARIBUNI SANA TANZANIA.