Saturday, June 23, 2012

ULANZI, ULANZI UNAPITAAAAA!!!

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAMOSI NJEMA ILA, KUMBUKA POMBE SI MAJI ....HAYA KILA LA KHERI...NIMEJIULIZA MARA NYINGI NI VIPI ULANZI UNANOGA? SIJAPATA JIBU....MMMMHHHH!!!

7 comments:

ray njau said...

Wikiendi njema kwako na familia yako na waache wenye ulanzi wao waendelee kufaidi kwa kuwa kifaacho mtu ndiyo chake.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! nawe na familia yako uwe na wiki end njema sana. Huko kwenye ulznai kwa kweli wala sitakugusa maana kama ingekuwa kuugusa ningeugusa zamani tu maaana bibi na babu yangu walikuwa na vitindi 20 vya ulanzi ....lakini sijaonja mpaka leo..

isaackin said...

umenikumbusha mbali na hii kitu dada,miaka ya 90 niliwahi pita njia ya mtera kutoka iringa kwenda dom,humo njiani ilikua balaa maana tulikua na dumu kibao za ulanzi zimepakiwa juu ya keria,bac karibia lote liligeuka kilabu

Yasinta Ngonyani said...

eeehhh! kaka Isack kumbe unaupiga huo wewe basi mkali kwelikweli...halafu nimecheka kweli eri "bac karibia lote liligeuka kilabu" duh kaaaazi kwelikweli:-)

Rachel siwa Isaac said...

J'Mosi njema da'Kadala!!!!Behh Sande sana kwa Ulanzi!!!!!!

ray njau said...

@Yasinta;
Hakika madokezo yangu hayakulenga kwako kuhusu kunywa ulanzi.Maana hapa ni kuwa wadau wa ulanzi wamechagua kutumia uhuru wao kwenye uga huo nasi tunapaswa kuheshimu uhuru wao ila wakumbuke lile tangazo:
"ULEVI NI..............!!"

Ester Ulaya said...

NA WALA POMBE SI CHAI KWAKWELI