tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5286680652079534662..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: ULANZI, ULANZI UNAPITAAAAA!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-79179205941238693962012-06-25T10:54:46.931+02:002012-06-25T10:54:46.931+02:00NA WALA POMBE SI CHAI KWAKWELINA WALA POMBE SI CHAI KWAKWELIInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-65172709455397913722012-06-25T08:54:27.857+02:002012-06-25T08:54:27.857+02:00@Yasinta;
Hakika madokezo yangu hayakulenga kwako ...@Yasinta;<br />Hakika madokezo yangu hayakulenga kwako kuhusu kunywa ulanzi.Maana hapa ni kuwa wadau wa ulanzi wamechagua kutumia uhuru wao kwenye uga huo nasi tunapaswa kuheshimu uhuru wao ila wakumbuke lile tangazo:<br />"ULEVI NI..............!!"ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-6476075053442755192012-06-23T18:27:53.066+02:002012-06-23T18:27:53.066+02:00J'Mosi njema da'Kadala!!!!Behh Sande sana ...J'Mosi njema da'Kadala!!!!Behh Sande sana kwa Ulanzi!!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-45344154941155780692012-06-23T16:41:41.210+02:002012-06-23T16:41:41.210+02:00eeehhh! kaka Isack kumbe unaupiga huo wewe basi mk...eeehhh! kaka Isack kumbe unaupiga huo wewe basi mkali kwelikweli...halafu nimecheka kweli eri "bac karibia lote liligeuka kilabu" duh kaaaazi kwelikweli:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-14070903671358940132012-06-23T16:30:36.668+02:002012-06-23T16:30:36.668+02:00umenikumbusha mbali na hii kitu dada,miaka ya 90 n...umenikumbusha mbali na hii kitu dada,miaka ya 90 niliwahi pita njia ya mtera kutoka iringa kwenda dom,humo njiani ilikua balaa maana tulikua na dumu kibao za ulanzi zimepakiwa juu ya keria,bac karibia lote liligeuka kilabuisaackinhttps://www.blogger.com/profile/09143606132115188985noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-79214525866349574362012-06-23T15:35:27.085+02:002012-06-23T15:35:27.085+02:00Kaka Ray! nawe na familia yako uwe na wiki end nje...Kaka Ray! nawe na familia yako uwe na wiki end njema sana. Huko kwenye ulznai kwa kweli wala sitakugusa maana kama ingekuwa kuugusa ningeugusa zamani tu maaana bibi na babu yangu walikuwa na vitindi 20 vya ulanzi ....lakini sijaonja mpaka leo..Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-15616859459176250252012-06-23T14:52:53.659+02:002012-06-23T14:52:53.659+02:00Wikiendi njema kwako na familia yako na waache wen...Wikiendi njema kwako na familia yako na waache wenye ulanzi wao waendelee kufaidi kwa kuwa kifaacho mtu ndiyo chake.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com