Tuesday, June 26, 2012

NENO LA LEO!!

Kama vyakula ulavyo sio vizuri kwa mwili wako, basi angalia viwe ni vizuri kwa ajili ya nafsi yako.
SIKU NJEMA KWA WOTE...KAPULYA

7 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Hili neno limetulia sana tu!

Ulivyo kwa ulacho!

ray njau said...

@Yasinta;
Kwa ujumla wake somo la leo ni gumu nami nimekosa pa kuanzia.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka o´Wambura naona umenipata...
Ndugu wangu Ray! hapa ni kwamba kuna watu wanajua wakila kwa mfano chips si nzuri kwa afya lakini wanakula kwa vile ni tamu....

emu-three said...

Tulekwa ajili ya kujenga,kulinda nakutianguvu mwili, siokula kwa ajili ya kujaza tumbo!

Ester Ulaya said...

nawe pia Kapulya, siku njema pia ujumbe mzuri

ray njau said...

@Yasinta;
Asante kwa kuweka mambo sawa!
Swali:Tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule?????????

chib said...

akisanti