Friday, June 22, 2012

IJUMAA NJEMA... Mziki Asili Yake Wapi!!!!


Mziki asili yake nini usiniona naimba ukazani ninayo furaha kumbe ninayo huzuni moyoniiii......haya endelea kuimba nawe..
IJUMAA NJEMA SANA NDUGU ZANGUNI!!!

2 comments:

ray njau said...

Zaburi 6:1-10
------------------------------

Kwa kiongozi wa vinanda
katika sauti ya nane ya
chini. Muziki wa Daudi.
----------------------------------
1 Ee Yehova, katika hasira yako usinikaripie,

Na katika ghadhabu yako usinirekebishe.

2 Nionyeshe kibali, Ee Yehova, kwa maana mimi ninafifia.

Niponye, Ee Yehova, kwa maana mifupa yangu imesumbuka.

3 Naam, nafsi yangu imesumbuka sana;

Nawe, Ee Yehova—hata wakati gani?

4 Urudi, Ee Yehova, uokoe nafsi yangu;

Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako zenye upendo.

5 Kwa maana katika kifo wewe hutajwi;

Katika Kaburi ni nani atakayekusifu?

6 Nimechoshwa na kuugua kwangu;

Usiku kucha nafanya kitanda changu kilowane;

Kwa machozi yangu nafanya kitanda changu kifurike.

7 Kutokana na masumbufu jicho langu limekuwa dhaifu,

Limezeeka kwa sababu ya wale wote wanaonionyesha uadui.

8 Ondokeni kwangu, ninyi nyote mnaozoea kutenda mambo yenye kuumiza,

Kwa maana hakika Yehova atasikia sauti ya kulia kwangu.

9 Yehova mwenyewe atasikia kwelikweli ombi langu la kutaka kibali;

Yehova ataikubali sala yangu.

10 Adui zangu wote wataona aibu sana na kuwa na wasiwasi;

Watageuka, wataona aibu ghafula.

Yasinta Ngonyani said...

amina!!