Monday, June 4, 2012

AU LABDA TUENDELEE JUMATATU HII KIHIVI NA HUYU DADA MREMBO AMBAYE NI KIKOJOZI....


Ni tatizo ambalo huwezi kulitolea ufafanuzi na pia huwezi kulitegemea linapotokea kwa mtu wa makamo, lakini ni tatizo kubwa na lipo ndani ya jamii zetu zinazotuzunguka, matokeo yaker ni aibu, fedheha na karaha....
Nilipoangalia hii nikakumbuka jirani yangu mmoja  kila ukienda nyumbani kwake kulikuwa na harufu kali kweli ya mkojo. Naye alikuwa anasema ni watoto wanakojoa sana. Kukojoa kitandani inasemekana ni homa lakini wengi wanafikiri wanaokojoa wanafanya makusudi.

1 comment:

Anonymous said...

sio kweli kukojoa kitandani wakati uko usingizini kwamba ni makusudi labda yule ambaye anafanya hivyo akiwa macho huyo ndiye anafanya makusudi,ila basi kuna wakati mwingine unaota kama ukonje unaenda haja ndogo na unaachia kila kitu baada ya kusituka loh!unakuta umeisha kuwa mtihani,wengine ni ndoto za jinamizi aina fulani ya shetani ndiye anakuchanganya unafikiri uko nje kumbe uko kitandani basi ilimradi ni mtihani huo.