Thursday, June 7, 2012

PICHA YA WIKI : - NIMEIPENDA SANA PICHA HII NA NIMEONA IWE WAREMBO WA WIKI!!!JE? UNAJUA NI NANI KATI YA HAWA WAWILI!!!? NALITAKA VAZI HILI

Picha hii nimeipenda sana yaani sana. Kiasi kwamba nimeona iwe picha ya wiki. Kama kichwa cha habari kinavyosema je Unamfahamu mmoja wa wadada hawa warembo?

11 comments:

Ester Ulaya said...

ni warembo hasa, tena wa kiafrica, ila sasa kujua ni akina nani, huo ni mtihani, ngoja network iendelee kusearch...nitarudi tena

Anonymous said...

huyu mmoja ni mbunifu wa mavazi anaitwa Ailinda Sawe mama wa afrika sana

Rachel siwa Isaac said...

Ni dadake Mija mwana wa sayi[mwanamke wa shoka] na Ailinda sawe!!! Nipe thawadi yanguuuuuuuuu

Rachel siwa Isaac said...

Yaani nikisema dadake si dadake mija yaani dada Mija!!!

Yasinta Ngonyani said...

Ester usichelewe sana utakuja uhondo umekwisha.
Usiye na jina :-)
Kachiki nawe kutaka thawadi tu..haya thawadi yako ni kula chakula cha JIONI NA Kadala..:-)

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Haya Kachiki umemnyima dhawadi akija Kadoda utamnyima pia?

Mie siwafahamu kwa kweli japo wametokezeyaaaa!

Rachel siwa Isaac said...

Umeona ehhh kaka Wambura anampendelea kila siku Kadoda!!

Ngoja nikaazime Ungo kwa kadoda wangu leo haufanyi kazi ilinije kula@Kadala!!

Wenu kachiki!

ray njau said...

Nimepitia tu hapa kuwajulia wadau wa kibarazani hali na sina madokezo yoyote.Salamu!!

sam mbogo said...

Mija hapo vishavu dodo dada yangu,kumbe ukiwa bongo mambo si mabaya.vazi zuri na wamependeza,mama sawe mke wa merinyo naye wamo hajambo anaonekana bado sana ,matunzo mazuri,kula vizuri.bisikuti yangu za siku upo!?,pole wamekunyima zawadi yako,wapige wote hao mabusha ya midomo! tuone kama wataweza kua? kaka s

Rachel siwa Isaac said...

Nipo bisikuti yangu mbona ulipotea sana kwema huko?salimia Wifi wa mimi na woote!!!!mwenzangu thawadi nimenyimwa!!

Yasinta Ngonyani said...

Rachel/Kachiki, jamani mbona nimesema thawadi yako ni kwamba itakuwa chakula cha jioni na Kadala... au unataka nyingine?