Sunday, June 24, 2012

NI JUMAPILI YA MWISHO KATIKA MWEZI HUU NAMI NAPENDA KUWATAKIENI WOTE KILA LA KHERI!!!

Tupeni wavu upande wa kulia nanyi mtapata samaki Yn 21:6.
NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA.

6 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana da'Kadala, iwenjema kwako na familia pia!!!!


Wenu Kachiki.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki! Ahsante wote hapa katika kaya wazima na natumaini nawe pia na familia wote wazima. Baraka zake Mungu zitawale ndani ya nyumba yenu

ray njau said...

Akutakiaye mema wewe na familia yako ni mtu mwema na asante kwake ni jambo jema sana.Ubaya hauna nyumba lakini wema una makazi na makazi yake ni moyoni mwako mwenyewe.

"KUENDAKO HISANI HAKURUDI NUKSANI BALI SHUKRANI".

Ester Ulaya said...

JUMAPILI YANGU JANA IMEISHA VIZURI SANA

Ester Ulaya said...

JUMAPILI YANGU JANA IMEISHA VIZURI SANA

Yasinta Ngonyani said...

Ray na Ester asanteni kwa kupita hapa hata mie jumapili yangu imekuwa njema. Namshukuru mungu.