Sunday, April 29, 2012

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE WATAKAOPITA HAPA!!

Upendo na Amani Ametujalia Mungu!!
Hili ndilo neno la Jumapili ya leo!!

8 comments:

Mija Shija Sayi said...

Asante dada.. mungu akubariki sana.

sam mbogo said...

nawewe pia juma na pili njema.(jumapili)!? kaka s.

mumyhery said...

Shukran mama erick jpili njema na kwako pia

Mija Shija Sayi said...

Kaka S siku ukifungua blogu yako nitarukaruka kama ndama...

sam mbogo said...

usikonde dada yangu yawezekana ipo siku huwezi juwa. subira ya vuta kheri. kaka s.

chib said...

Ah! Basi Jumatatu njema!

ray njau said...

Kwetu ni salama na tunamshukuru sana Yehova Mungu kwa kutuamsha salama na mvua ya wikiendi hadi asubuhi hii hapa TZDAR.J3 kwa mama maisha na wadau wote wa kibarazani.
ASALAAM ALEYKUM!!

Yasinta Ngonyani said...

Kwanza samahani kwa kuchelewa kujibu...Pili ahsanteni sana kwa mchango wenu kwani ndio nguvu kwangu. Mola awe nanyi daima:-)