Friday, April 27, 2012

NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA KWA WIMBO HUU NAJUTA!!


WAKATI MWINGINE INAKUWA KAMA USIVYOTARAJIA...NA MWISHO NI MAUMIVU ILA KAMA MKIONGEA MNAWEZA KUELENA!!!!NAWATAKIENI MWISHO WA WIKI UWE SALAMA KWA WOTE!!!

7 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Ahsante mwanakwetu kwa burudani na ujumbe pouwaaa,iwenjema nanyi hapo nyumbani.mimi penda sana weweeeee.

Yasinta Ngonyani said...

Rachel wimbo huu ni mtu maalum sana kwangu ambaye NUUHUSUDU SANA...mimi penda sana ww pia.

Anonymous said...

Yasinta, huyo mtu maalum ni mimi?

Anonymous can be any one pretending to know Yasinta.

Weekend njema wa kunyumba!

ray njau said...

Haya na mimi hapa sijaelewa kitu chochote lakini nawatakieni nyote wikiendi njema kifamilia.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ni vigumu kukujibu kama huyo mtu maalum niu ww wakati hujasema wewe ni nani?
Kaka Ray ni kitu gani usichoelewa? Nawe uwe na mwisho wa juma /mapumziko mema na familia yako.

Mija Shija Sayi said...

Asante sana Yasinta, enjoy your weekend..

Yasinta Ngonyani said...

Mija natumaini nawe pia ulikuwa na wikiend njema na ndefu!! Ahsante dada wangu:-)