Thursday, April 19, 2012

TANZANIA YETU NA UZURI WAKE....NIMEZIPENDA PICHA HIZI!!!

Hapa ni mlima wetu Kilimanjaro ambao unajulikana dunia nzima.....................................


Na hapa ni sehemu fulani huko Mtwara/Ntwara......




.......Na bila kusahau kisiwa chetu Zanzibar. Hakika kuna sehemu Tanzania mtu unaweza kuwa na usiamini kama upo Tanzania.

5 comments:

ray njau said...

Karibuni Tanzania kwenye ardhi ya mlima Kilimanjaro,visiwa vya Zanzibar,mbuga za Serengeti na daraja la biashara na uchumi kwa nchi za maziwa makuu kupitia bandari ya Dar es Salaam.

Mija Shija Sayi said...

Yaani ni aibu, hadi leo hii nimetembelea sehemu chache sana Tanzania. Sijui ni kwa nini..

Yasinta Ngonyani said...

Ray! Usiwe na hofu tushakaribia. Tanzania ni nchi nzuri sana tuna kila sababu ya kujivunia ila sasa ufisadi umezidi...haya yote maliasili haya ni haki ya kila mwananchi kuona lakini ni kinyume kabisa....

Mija! ni kweli kabisa inatupasa kuona aibu ebu angalia kama hapa Mtwara mie hata sikujua kama kuna sehemu nzuri kiasi hicho. Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote..nchi nzuri Tanzania...haya anayependa amalizie:-)

ISSACK CHE JIAH said...

kila siku jaribuni kutembelea hata kwa miguu ili mfike kule mbambabay kuni kisima cha ajabu Yasinta anapajuwa kila mahali nchi yetu ni kuzuri na kule mbeya kuna daraja la kiwe nako kunatakiwa tutembelee hata kwa kwenda kutumia TZ II .DADA UPOOOO HAPOO

Yasinta Ngonyani said...

Nipo kaka Che Jiah! kweli inabidi kutembelea kuna sehemu nyingi tu ambazo ni makumbusho mazuri kwa jamii. Hicho kisima cha ku-Mbamba bay ngoja tu ....