Sunday, April 8, 2012

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO INAPENDA KUWATAKIENI WOTE PASAKA NJEMA SANA!!

Salamu za Pasaka ziwafikieni wote popote mlipo na baraka kwa wote wataopita hapa. Muwe na pasaka njema wote....MNAPENDWA SANA.


10 comments:

EDNA said...

Nawe pia, umependeza na white yako.

Anonymous said...

asante na wewe dada yasintah, japo email yangu umeichunia.

Mzee wa Changamoto said...

Dada Yasinta
Nawe uwe na Pasaka njema pamoja na familia.

Baraka kwako na kwenu

Mija Shija Sayi said...

Umependeza mdada. Heri ya Pasaka, Amefufuka.

batamwa said...

asante sana ubarikiwe nawe pasaka njema

Baraka Chibiriti said...

Nawe pia na Familia yako, Pasaka njema sana na Mwenyezi Mungu awabariki.

emu-three said...

Na wewe pia, natumai sijachelewa

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanten ndugu zangu kwa kuwa nami..mie pasaka imeenda safi kiduchu ..nilikuwa katika kubeba maboxi:-) natumaini nanyi mmeisherehekea siku hii vema. Upendo Daima na baraka nyingi za Mwenyezi Mungu kwa wote waliopita hapa.

Festo Tarimo said...

Asante sana dada Yasinta nawepia Mungu azidi kukubariki Amina.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Festo ahsante nawe ubarikiwe pia!!