Sunday, April 1, 2012

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA YA MATAWI!!

Leo ni jumapili ya matawi na pia ni jumapili ya kwanza ya mwezi huu wa nne. Pia ni sikuku ile ya WAJINGA, kwa hiyo kuwa mwangalifu unaweza kudanyanya na lolote lile. Hivi kweli kuna wajinga duniani hapa? Ebu basi dada Esther amalizie na wimbo huu Mambo yanabadilika:-)

JUMAPILI NJEMA UNGANA NA MARAFIKI AU NDUGU KWA SIKU HII NI VIZURI KUWA PAMOJA!!!

4 comments:

EDNA said...

Nawe pia mdada.

Festo Tarimo said...

Asante dada nawewe uwena jumapili njema san.

Baraka Chibiriti said...

Asante nawe pia J2 njema ya Matawi na Familia yako yote!

Penina Simon said...

Teh teh teh!! yasinta wajinga wapo mbona wengi sana, ingawaje wengi wanajitahidi, nimshukuru Mungu sikupata wa kunidanganya jana.