Sunday, April 15, 2012

JUMAPILI NJEMA:- UNALIA NINI?


Napenda kuwatakieni Jumapili njema wote mtakaopita hapa ....na pia mbarikiwe wote watakaopit​ia hapa.!!!

6 comments:

b said...

ahsante sana na wewe uwe na jumapili njema

batamwa said...

ahsante sana na wewe uwe na jumapili njema

batamwa said...

ahsante sana na wewe uwe na jumapili njema

Anonymous said...

wimbo mzuri ujumbe mzuri ubarikiwe sana dada

Anonymous said...

dada yasta mimi niko out of topic nimekuwa mpenzi ya hii blog yako kwa muda sasa haipiti siku bila ya kukutembelea nimejifunza mengi sana kupitia hii blog yako ss ni hivi mimi kwa sas naishi marekani kwa muda nimekuwa nikitamani vyakula vyanyumbani sana haswa chapati sasa huwa nikizikaanga zinatoka ngumu sijuii kwa nini sasa naomba kama hutajali uniandikie recipe ya chapati na unga aina gani ninunue na vipimo maana kuna siku uklitoa recipe ya mandazi ilinisaidia japo nilikuwa najua kupika lakini sio kiivyo sana ubarikiwe sana dada uendelee kutuabarisha

Rachel siwa Isaac said...

Nimatumaini yangu nanyi mlikuwa na J'2 njema dada wa mmi.