Saturday, April 7, 2012

STEVEN KANUMBA HATUNAYE TENA!!

Pole wanandugu, marafiki, majirani na pia waTanzania wote kwa kuondokewa na msanii wetu!!! Pumzika kwa amani.

4 comments:

Anonymous said...

Poleni Tanzania pamoja na familia

Anonymous said...

hakika sisis ni wa mungu na kwake tutarejea kanumba umetutangulia mwenyezi mungu akulaze mahali unapostahili

Mija Shija Sayi said...

R.I.P Kanumba.

Anonymous said...

Kweli watanzania wanapenda mambo ya hovyo kupita mambo muhimu! Who was Kanumba by the way? Acheni usanii hata hao viongozi na wake zao wanawafanyia usanii. Kuna mambo mengi muhimu ya kulifanyia taifa na siyo kuhudhuria misiba jamani.