Tuesday, April 3, 2012

NIMEYAPENDA MENENO HAYA:- UBINADAMU KAZI!!!

Hapa ni mimi, nikiwa pamoja na wifi yangu na mwanae...ni mwaka jana. Hapa ni stendi KUU ya SONGEA tulikuwa tukiwasindikiza walikuwa wakirudi kwao Mbinga. Nimependezwa na maneno haya kwenye T-shirt ya Wifi. UBINADAMU KAZI.... ...KILA LA KHERI.

4 comments:

Seleman Awadh said...

Habari za saa hizi Dada yangu.Kwanza nikushukuru kwani kupitia blg hii tunajifunza mengi kweli ubinadamu ni kazi na penye wengi pana mengi ,kwani unaweza kumfanyia binadamu mambo mazuri lakini baadae ukaambulia maudhi.Lakini hii inalenga wale wachache wenye tabia zisizofaa.

ray njau said...

Ubaya hauna kwao lakini wema hauozi.

Rachel siwa Isaac said...

Kweli kabisa UBINADAMU KAZIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!

Justine Magotti said...

kweli dada ubinadamu kazi