Thursday, April 5, 2012

UJUMBE WA ALHAMISI KUU HII/MALAIKA/UPENDO

Malaika wapo, lakini wakati mwingine hawana mabawa. Nasi twawaita MARAFIKI. Wote mnampendwa.:-) NAWATAKIENI WOTE ALHAMISI KUU HII IWE NJEMA PIA MAANDALIZI MEMA YA PASAKA!!!

5 comments:

emu-three said...

Na wewe pia, lakini nauliza mara nyingi naona sura za malaika za picha wengi ni wanawake, ...? au ni hisia zangu tu?

emu-three said...

Na wewe pia, lakini nauliza mara nyingi naona sura za malaika za picha wengi ni wanawake, ...? au ni hisia zangu tu?

Yasinta Ngonyani said...

kama nimekuelewa vizuri swali lako basi napenda kukujibu kuwa hata hivyo ni MARAFIKI TU na unapendwa.

chib said...

ahsante

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Amani na upendo daima....