Saturday, November 12, 2011

JUMAMOSI YA LEO NIMEONA NIJIUNGE NA LADY JAY DEE KATIKA MWEZI HUU KWA KUVAA NGUO NYEUPE!!

Hapa ni yeye mwenyewe Lady Jay Dee ndani ya nyeupe....


Na hapa ni kapulya katika nguo nyeupe kwa kuungana na dada Jay Dee kwa kipindi hiki cha maombi ....JJUMAMOSI NJEMA!!!!!!

Basi ngoja tumsikilize pia dada Jay Dee na kipande hiki.........

9 comments:

EDNA said...

Wote mmetoka bomba.

ray njau said...

Mke mwenye uwezo ni taji kwa mume wake, lakini yule anayetenda kwa aibu ni kama ubovu kwenye mifupa ya mume wake._Methali 12:4

ray njau said...

Mavazi meupe ndiyo hayo na picha zenyewe ndiyo hizo lakini haya mavazi meupe yana ujumbe gani kwa jamii yetu?

Mija Shija Sayi said...

mmwaaaaaaaaaaaaaa!!

Rachel Siwa said...

Mmetoka chicha wapendwa, na kawimbo kanofu wiki hii jay dee katamba sana kwenye blog, mimi namkubali sana tuu.

Simon Kitururu said...

Sijui kwanini ghafla namisi mila za kikwetu za enzi za kigoli siku ya ndoa ni mchezo wa shuka jeupe ili WADAU wa mila na desturi wahakikishiwe binti hakuonja tunda la asili kabla ya ndoa.

Jumamosi njema kwako pia Yasinta!

Unknown said...

Pendeza sanaaaa dada Yasinta...Ubarikiwe

Penina Simon said...

MMependeza, Dada Kapulya kilemba naona umesahau au?

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni wote. Pamoja Daima.Pia wote mnapendwa:-)