Picha hii ni zawadi niliyopewa mwaka juzi 2009 na mzee wa Lundu Nyasa Nimeipenda na nimeona iwe picha ya wiki. Pia huwa napenda kukusanya kila kinachonihusu, nataka kiwe karibu nami. WOTE MNAPENDWA MUWA NA JIONI/USIKU NJEMA/MWEMA. Au pia LABDA MCHANA MWEMA.
Yasinta; Hii ni zawadi kwako binafsi,familia yako na kwa wadau wako.Somo hapa ni kudumisha moyo wa kutoa zawadi kwa moyo wa kupenda na mpokeaji awe na shukrani kwa kile kinachoifikia mikono yake. ------------------------------------ Usiwanyime watu mema wanayostahili, mkono wako ukiwa na uwezo wa kuyafanya.Usimwambie mwenzako: “Nenda, kisha urudi na kesho nitakupa,” na kumbe una kitu anachohitaji.Usimtungie mwenzako jambo lolote baya, wakati anapokaa nawe na kujiona salama. Usigombane na mtu bila sababu, ikiwa hajakufanyia ubaya wowote.-Methali 3:27-30
4 comments:
yeah umependeza haswa,pia ile pale pembeni umevaa lubega ndio naipendaGA zaidi sana kama ulikua hujui
Picha nzuri na umependeza mrembo wangu!
Yasinta; Hii ni zawadi kwako binafsi,familia yako na kwa wadau wako.Somo hapa ni kudumisha moyo wa kutoa zawadi kwa moyo wa kupenda na mpokeaji awe na shukrani kwa kile kinachoifikia mikono yake.
------------------------------------ Usiwanyime watu mema wanayostahili, mkono wako ukiwa na uwezo wa kuyafanya.Usimwambie mwenzako: “Nenda, kisha urudi na kesho nitakupa,” na kumbe una kitu anachohitaji.Usimtungie mwenzako jambo lolote baya, wakati anapokaa nawe na kujiona salama. Usigombane na mtu bila sababu, ikiwa hajakufanyia ubaya wowote.-Methali 3:27-30
asante sana. nadhani zawadi ni zawadi, nami naungana na wadau kuthamini zawadi hiyo
Post a Comment