Monday, February 15, 2010

Da Mija na kaka Chacha O`Wambura a.k.a Ngáwanambiti nimesubiri kushonewa zile nguo nimechoka!!

Kazi ya umodo ya siku moja Habari zenu ingawa mkono umepotea:-)

Naupenda utamaduni wangu (wetu)

soma zaidi hapa Ila bahati mbaya sijapata ile rangi ya bendera yetu nadhani hizi picha au hili vazi Limekaa/zimekaa vizuri:-)

19 comments:

Anonymous said...

mwe, umependeza sana wewe. Hongera sana!

EDWIN NDAKI (EDO) said...

baab kubwa umependeza..

Mwanasosholojia said...

da Yasinta "umetoka chicha"!

Born 2 Suffer said...

Mwanamki wa kiafriki anapendezi kuvaa kitengi kuliki nguo ingini yeyoti, Yani umependezi sani.

Fadhy Mtanga said...

umitoki chichi kweli yasinti, je?

Halil Mnzava said...

Umetoka poa!

Jacob Malihoja said...

Yaani! we acha tu! niseme nini tena na wenzangu washasema! Ila mbona wale wadada nawaonaga, siwaoni leo au wao hawapendi vazi hili, wanapenda vipedo? Ahaa! kumbe wengine wako safarini! Kwa ufupi Yasinta umetoka Bomba kinoma! Wakilisha! Wakilisha mama!

Lulu said...

Mwee Yasinta umechomoka vibaya!! We acha tu yaani umetoka pina ile mbaya.

EDNA said...

mwanamke kitenge bwana,watu weweweeee.Umependeza kiukweli mdada.

twenty 4 seven said...

umetisha dada kwa kudumisha mirra

mumyhery said...

Yasinta umefuka bovuuuuu!!!

Mija Shija Sayi said...

Mwanawane! mwanawane! mwanawane!!!

Simon Kitururu said...

Umependeza sana!

Hivi chupi ya Kiafrika nayo ni ya kitenge?

nderi said...

kweli tuseme nini tumechelewa kusema wacha tuu mara ya pili

umetoka kweli dadangu

Anonymous said...

yasinta umependeza mnoooo!!watu weweeeee!!!
SIMON KITURURU.....e.am.nimesahau nilichotaka kusema kaka.lkn jua tu umevunja mbavu zangu nimezigandisha na banzoka!!!wee kaka yangu ni noma!!!

John Mwaipopo said...

sidhani kama nafaa kuchangia tena.

fadhy mtanga na mtakatifu simeone mnenichengua kwa kweli.

Anonymous said...

Da Yasinta naamini wewe kweli ni mama Afrika.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

@Mt. Simon: chupi ya kiafrika ni 'TAMANG'EYO'...lol

Muulize MLUO yeyote atakwambia

Haki ya nani Da Yasinta, hakuna aloleta posa?

Simon said...

nice, you look so nice indeed!