Wednesday, February 10, 2010

Karibuni Wote Kikombe Hiki Cha Chai!!!!!

You´re Just my Cup of Tea,
Our Love Warms my Heart.
Najua wote mnajua mie ni mpenzi sana wa chai tena ile isiyo na sukari(Chingambu) :-).

16 comments:

EDNA said...

Hunishindi mimi Da Yasinta,lakini mimi iwe na sukari ndio inanoga.

Yasinta Ngonyani said...

Da Edna utamu wa chai ni sukari au chai? Kwa mimi ni Chai yenyewe

Fadhy Mtanga said...

kama haina sukari haiwezi kuwa tamu. mi napenda sana chai. na jioni kama hii nina kikombe cha chai hapa.

chib said...

CHINGA-MBU! Hilo jina asili yake wapi!

PASSION4FASHION.TZ said...

Yasinta unapenda chai kumshinda MJENGWA?yeye nikiboko yenu wote wapenda chai.LOL

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Da Yasinta: aksante kwa chai na ujumbe uloambatana na kikombe hicho cha chai hii ya Mkono mmoja!

Na ukienda mbali ya 'chai' naanza kuzinguka na ujumbe wa da EDNA na papa Fadhy zaidi :-(

Hivi imajini weye hapo una 'chai' yako! Yaweza kuwa UMPENDAYE a.k.a SWITIII ndo chai yako ...lol Je waweza weka masharti kuwa hiyo chai yako ili iwe TAMU lazima iwe na sukari? :-(

kumbuka ili udhihirishe upendo wa kitu ni lazima ukipende bila masharti. ukishaweka masharti huo si upendo asilani :-(

Samahani kwa kuwatibulia mood ya kunywa chai :-(

Mija Shija Sayi said...

@Chacha, wakati mwingine masharti hunogesha mapendo zaidi...

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Da Mija: hata akiwa kikojozi ilihali alomroga ashakufa na haiwezekani ku-reverse hiyo hali?....lol

:-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

yasinta anamtamani mtu hapa, eti karibu CHACHAi, malizia Ng'wanambiti

Simon Kitururu said...

Chai ni anasa waiwezayo wajuao wana chakula.:-(

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

@Kamala: duh!

Naogopa ugoni na pia kuwa wangu wa 'LOHO' yuko Uholanzi (kama kuwadi wangu keshatekeleza ombi langu niende nkapeleke posa)....lol

sijui nibadili jina...lol

hata hivo kiswahili naona kama kinapanuka kwani kama kinakuwa na mnyambuliko wa namna hiyo naona ni vema niache fani yangu nisome kiswahili....lol

Yasinta Ngonyani said...

Dada PASSION4FASHION.TZ nanukuu
"Yasinta unapenda chai kumshinda MJENGWA?yeye nikiboko yenu wote wapenda chai.LOL"mwisho wa kunukuu:-Je Kaka MJUNGWa anakunywa vikombe vingapi au birika ngapi kwa siku? ukinijibu hapa naweza kuamini ni kweli.

Mija Shija Sayi said...

Chacha Chacha chacha...Jamani si unatuambia una mjukuu? Au ndo kisa cha kushindwa upadri..

@Yasinta kama unaweza kujilinganisha na Mjengwa basi wewe ni kiboko yetu, nashawishika kabisa wewe ni mnywaji chai usiye na masihara, Maana Mjengwa hadi kwenye boti yeye na kikombe cha chai...

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

@Da Mija: Walisema wao si miye! Na hako ni kajukuu ka Mbiti na si Ng'wanambiti...lol

'Nalinakuwila unitile mpango!'

Hiyo si sababu pekee kwa kuwa hiyo ndo sifa mojawapo ya mtu kuwa na ukionekana anti-social na hawajawahi kukusikia kuongelea ama kuwa na demu wanakuondoa mapema kwani yawezekana SI RIZIKI...lol

Yasinta Ngonyani said...

Da mija ni kweli mimi na chai ni damu danu na kwa siku nakunywa birika tatu, inawezekana ni kiboko yyenu na inawezekana naweza kumshinda Mjengwa ila sijui yeye anakunywa kiasi gani?

mumyhery said...

chai bwana!!! na hii baridi!!!