Sunday, February 28, 2010

TUMALIZE DOMINIKA HII YA MWISHO YA MWEZI HUU FEBRUARI KWA WIMBO HUU!!



Napenda kuwatakieni wote jumapili/dominika hii kwa wimbo huu. Na pia ni Dominika/Jumapili ya mwisho ya mwezi huu Februari. Duh! Jamani siku zinakimbia kweli. Ok, JUMAPILI/DOMINIKA NJEMA KWA WOTE JAMANI

4 comments:

chib said...

Na wewe pia jumapili njema wakati huu wa Kwaresma

Mija Shija Sayi said...

Asante, ni ujumbe mzuri pia kwa kaka yetu Mlachaombwani.

MARKUS MPANGALA said...

AMINA, UBARIKIWE

CHIBI. said...

ASANTE SANA NAWE PIA, J2 NJEMA SANA NA FAMILY YAKO KWA UJUMLA.