Sunday, February 14, 2010

Happy Valentines Day/Upendo Daima /Alla Hjärtans Dag Pia ni Dominika/Jumapili ya Saba ya Mwaka C!!!

Leo ni Valentineday/siku ya kupendana/alla hjärtans dag. Sio kama siku zote watu hawapwndani HAPANA baki ni kuhamasisha wtu wazidi kupendana . Kwangu mimi ina maana kubwa kwani nimekuwa mwanaharakati bora wa Upendo kwa jamii haijalishi nimefika kiwango gani . Nashukuru hata kama sijafika robo. Nakuomba nawe shiriki kutangaza Upendo Duniani. HAPPY VALENTINES DAY.!!!! NA PIA DOMINIKA NJEMA

14 comments:

Anonymous said...

Happy Valentine's Day nawe Yasinta. Upendo daima!

Fadhy Mtanga said...

Heri ya siku ya wapendanao kwa wanablog wooooooooooooote!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

aksenti

Kibunango said...

Heri ya siku ya wapendanao...

mumyhery said...

shukran na kwako pia

John Mwaipopo said...

heri kwa siku ya wapandanao...oops! ulimi uliteleza nilitaka kusema wapendanao.

EDNA said...

kwako pia,upendo uzidi maradufu

Faith S Hilary said...

upendo ulimwenguni kote! love the picture! happy v day dada

PASSION4FASHION.TZ said...

Kwako pia Yasinta na wanablog wako wote,upendo zaidi.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

wewe pia na familia yako

Mwanasosholojia said...

Ze sem tu yuu!

Mija Shija Sayi said...

Na wewe pia.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@mwaipopo!!!! you might be right ila sijui kama wanapandanaje!

yasinta unatupenda au unatutakia sisi wapendanao siku yetu kivyetu

chib said...

Na wewe pia. Picha hiyo muruwa kabisa!