Thursday, February 11, 2010

Karibu katika Ulimwengu wa kublog:- Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!



Karibu katika ulimwengu wa kublog kaka Chacha unaweza kumtembelea kwa kubonyeza hapa. http://mataranyirato.blogspot.com/

9 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Aksante Da Yasinta.

tuko pamoja

Fadhy Mtanga said...

Karibu sana kaka katika ulimwengu wa kublog. Kublog ni kama dhehebu. Wingi wa waumini maana yake ni dini safi yenye kukubalika.
Hakuna kitu kinachonipa raha kama uhuru wa kueleza fikra zako kwa wengine.
Karibu katika huu ulimwengu huru.

Mija Shija Sayi said...

Vigelegele jamani....

Yasinta Ngonyani said...

ruuuuuuuuuu, ruuuuuuurrrr, lya lya lyaaaaa!!!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Da Yasinta: na hicho kigelekele jamaani!

aksante kwa kusherehesha furaha yetu

Mija Shija Sayi said...

Duh, Yasinta umenipa kali ya mwaka yaani hicho kigelegele, hapo ni kwa kuandika, chenyewe je?

Sipati picha mimi na wewe tukikutana shughulini.

Yasinta Ngonyani said...

Da Mija mie na wewe tukiwa pamoja mambo yataenda bomba mno.Lya lya lya ruuuuuuu, ruuuuuuu au wewe uunapigaje vigelele vyako?

Mwanasosholojia said...

Karibu sana mkuu!

mumyhery said...

Bw Chacha karibu sana tujumuike pamoja, fagilia wawawawawawawaw!!!!