Saturday, September 19, 2009

U-MODO WA SIKU MOJA = RAHA JIPE MWENYEWE NA PIA JIPENDE MWENYEWE KWANZA

Hapa vipi tena?
Leo saa sita mchana.

Mawazo mpaka nywele zawasha

Hapa ndo mawazo yamezidi kiasi kwamba nimekuwa kama nyani.
JUMAMOSI NJEMA KWA WAOTE NA POPOTE MLIPO.


19 comments:

mzee wa matukiodaima habari bila uoga said...

Hapa mi sisemi jambo kwani ni maelekezo yanayokidhi,ahsante mwalimu

Bennet said...

We mbunifu sana, maana leo kwenye blog nyingi hamna kipya ukaona utuchangamshe kidogo na kweli umefanikiwa. HONGERA

Fadhy Mtanga said...

Duh! Naomba niseme kitu....mmh!
Anyway....upo chicha parefu.
Umepe....umependeza kweli Yethu na Maria.

Anonymous said...

du, ama ni lazima kujiraha mwenyewe! mie hicho kikuku tu!!

Ngurumo said...

Kwa umodo huu, Yasinta umeshinda tayari, ingawa sijajua aliyeshindwa ni nani. Lakini ukweli ni kwamba unalipa! Walau watu wameweza kuona hata figa yako iliyojificha siku nyingi. Hongera!

Koero Mkundi said...

HA HA HA HAAAAA!!!!
JAMANI DADA YASINTA KWA VITUKO...MAWAZO+NYWELE KUWASHA-UMODO=WEWEEE KAAAAAZI KWELI KWELI........LOL

Mzee wa Taratibu said...

Hivi hayo ni mazoezi au vipi jameni?

Unknown said...

Duh! dada mie nataka kujua hayo mavazi ni fasheni gani?...... jamani ushamba huu...LOL

Faith S Hilary said...

Hehehehehehe...you made my day :-)

Anonymous said...

Hauvumi lakini umo!!! Ngoja nami nitakutumia ya kwangu ha ha ha ha ha

John Mwaipopo said...

Sura nyingine ya Yasinta

Yasinta Ngonyani said...

NAWAPENDENI WOTE KWA KUTOCHOKA KUPITA HAPA NA KUACHA YETU MAONI. lEO NILIAMUA KUCHEZA KIDOGO YAANI KAMA MODO ANGALAO KWA SIKU MOJA ILA SIKU NYINGINE NTAJITAHIDI KUCHEZA NA LIZOMBE:-)

Simon Kitururu said...

Jamani mdada wewe Mzuri!

Chacha Wambura said...

yangu macho na masikio tu!!!

kama ulikuwa na mawazo ulimhitaji mutu kama kaluse akujuze namna ya kupunguza ili nywele zisiwashe kwa kutumia utambusi, ama!

Yasinta Ngonyani said...

Simon Shukrani kwa sifa nzuri:-)

Chacha Wambura nawe asante na pia asante sikujua kama kaka Kaluse ni kinyozi ila hapo ni mawazo yalikuwa yanawwsha.

Mija Shija Sayi said...

Yasinta una hatari wewe si kidogo! Nimecheka mpaka basi. Shukrani sana.

Yasinta Ngonyani said...

Da Mija hizo ni bwebwe tu karibu sana tena na tena ili kubadili mawazo na kuona hatari zangu:-)

Anonymous said...

yaani mimi kuona picha tu na maelezo yake nimecheka mpaka bac, sasa bac nilipokuja soma coment ndio dah nimekufa mbavu zangu hoi, yasinta punguza utungu umekuwa wewe

Yasinta Ngonyani said...

Nafurahi usiye na jina kama umecheka mpaka hoi. Na hapana mie si mtundu nilitaka kuwafurahisha tu kama ulivyofurahi.