Monday, September 21, 2009

JE? UNAONA NINI KATIKA PICHA HIZI? SIJUI MAPACHA HAWA?:-)

Sijui huyo ni dada wa wapi?


Na huyu pia sijui ni nani ila kuna kitu hawa watu wanafanana au?


7 comments:

johnmwaipopo@yahoo.com said...

wote ni wa afrika, ila mmoja mrefu kuliko mwingine, au?

Fadhy Mtanga said...

Duh, wote wanavutia. Wote wapo chicha. Wote wanawaka. Wa juu ni Mngoni, wa chini simnyaki.

Mwanasosholojia said...

duh,labda nikodoe macho zaidi

Yasinta Ngonyani said...

Mwaipopo ni kweli mmoja mfupi na mmoja mrefu na wote ni waafrika.-)

Asante mtani kama unaona ulivyoona. Ni kweli mmoja ni mngoni na huyo mwingine mmhh sina uhakika labda ni kweli au labda naye mngoni je?:-)

Mwanasosholojia nasubiri ukodolee macho zaidi nina imani utarudi na jibu......LOL

Chacha Wambura said...

hapo mmoja mzuri mmoja mbaya and am serious about it!!!lol

mzuri ni kwa sababu ni mzuri na mbaya ni kwa sababu kajikondesha ili awe mzuri!!!!lol

Yasinta Ngonyani said...

Chib:-)

Chaha Wambura asante sana na asante kwa kutembele blog maisha na karibu sana tena sana.

Anonymous said...

huyo aliyosema mmoja ni mzuri na mwengine ni mbaya "you are insane". wote ni wanawake but they differ in occupation. Kila mtu ni mrembo akijiremba....uzuri wa mtu anajua mtu wake wa karibu

Tamasha