Wednesday, September 23, 2009

MWENZENU LEO NIMEKUMBUKA KWELI NYUMBANI UNGANENI NAMI ILI TUANGALIE NA KUSIKILIZA HAPA (TUPO UNGONINI) MKOANI RUVUMA



Jumuikeni nami kuimba kwa lugha hii ya kingoni. Tupo pamoja.

9 comments:

Ngatunga said...

Si wewe tu hata mimi nimekumbuka nyumbani. Gwali na lanyungu hahahahah,keep it up dada Yasinta

Mzee wa Changamoto said...

Duh!!!
Pamoja kucheza, kuimba kingoniiiiii ntakudanganya. Lol
Swafi Dada

Koero Mkundi said...

kaaazi kweli kweli.....umenikumbusha uhuwiko.....LOL

viva afrika said...

tehe, tehe, tehe, hii safi sana, raha ya mwafrika hii jamani, sasa da yasinta hebu fanza ka mpango hapa nipate mdumange nijinafasi na ndugu zangu wasambaa, wabondei, wazigua na wadigo, tehe, tehe, tehe.

Simon Kitururu said...

Kali hii!Hapo ni wewe tu Yasinta unakosekana!

PASSION4FASHION.TZ said...

Yasinta safi sana bombii!!!endelea kutuwekea vitu hapa.hongera sana.

Anonymous said...

mlongo, asante sana kwani apa unipeliki kunyumba aswa. miaka ya nyuma enzi ya Lilambo, mwanamonga kijiji cha jilani kilikuwa kinaiweza sana kazi ya lizombi tulikuwa tunafuraha sana wakiwa wanakuja lilambo kucheza ingawa apo Lilambo pia kulikuwa na kikundi lakini walikuwa hawawezi kuwafua watu wa mwanamonga. kwa jumbe iddi wao walikuwa watu wa chomanga. Molongo usengwili. Ubarikiwe.

Anonymous said...

Bo mbili nyumbili wangoni wote munyimuke!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kweli kunyumba nga kunymba. Aya wandugu hapa ni mwanzo tu wa kuselebuka. Nafurahi kuona wengi mmependa utamaduni wa kingoni ingwa hamelewi wanasema nini: Asanteni