Friday, September 25, 2009

NA IJUMAA YA LEO TWENDEN KWA WENZETU WASAMBAA NA WIMBO MDUMANGE(WABWANGA)

Na Wasambaa, Wabondei, Wazigua na Wadigo

Haya Viva afrika, na wengine wote wanao elewa nini kinasemwa/imbwa muwe na furaha ijumaa ya leo . Pia naomba mniambie wanasema nini kwani nimeambua neno moja tu ila nimependa mapigo ya mziki. IJUMAA NJEMA KWA WOTE!!!!

7 comments:

MARKUS MPANGALA said...

samahani naomba usiende kunywa bia maana nitachukia bureeee. najua utamwambia kaka Kitururu anunue bia na kashata au...lol...

Simon Kitururu said...

@Mkuu Markus: :-)
@Dada Yasinta: Ijumaa njema nawe pia! Na asante kwa burudani mwanana!

Chacha Wambura said...

huko kwa wasambaa UGIMBI upo lakini?

Mzee wa Changamoto said...

Mmhhhh!!! Hivi hakuna kamusi ya kisambaa? Najua ya kiwetu ipo.
Kaazi kwelikweli
Ijuma njema kwako pia Dada.

Yasinta Ngonyani said...

Markus! kuacha kunywa bia na kaka Kitururu ni lazima rahaaa jipe mwenyewe....

Simon! je? umecheza pia kama burudani ilikuwa mwanana kwani mie mpaka kiuno kinauma:-)

Chacha Wambura! nadhnani kuna UGIMBI maana ngoma hii bila ugimbi?

Mzee wa Changamoto labda tumuulize VIVA AFRIKA.

Jambo said...

Asante sana dada Yasinta,
Hapo anasema kuwa atacheza na nai ngoma ya dumange wakati wasichana na wavulana wanakwina kwa ukimwi, tuchukuwe tahazari.
ni mimi mzee wa Tanga kutoka Zim kwa Mugabe

Yasinta Ngonyani said...

Jambo! asante kwa tafsiri ya wimbo huo. na Karibu tena na tena katika kibaraza hiki cha MAISHA.