Wednesday, September 30, 2009

HÖST/AUTUMN = MAJIRA YA BARIDI YA KUPUKUTIKA MAJANI BRRRRRRR!!!!

Hapa ni leo mchana kama saa nane hivi

Nadhani mnaona vazi la leo ni tafaouti na picha nyingine kwani sasa baridi imeanza leo asubuhi iliwa -0.4C. Waliofika Njombe, Iringa Makambako na pia Mbeya wanajua. Mmmmh kazi inaanza sasa kaziiiii kwelikweli, maana mtu unavaa nguo na mwisho unaonekana kama una kilo elfu kumi. Haya ngoja niache.

16 comments:

chib said...

Wakati wa watu kununa umekaribia. Vicheko vyote na tabasamu vya summer ndio vipo ukingoni.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ndoa zitakuwa na maana sana nyakati kama hizo.

PASSION4FASHION.TZ said...

Model Yasinta akipozi kwa picha kuonyesha mavazi ya winter 2009/2010...lol,unafaa kweli kuwa model hongera sana.

Bennet said...

Poleni sana yaani ni kama mnaishi kwenye jokofu

Shein Rangers Sports Club said...

Pole kwa baridi sister!

Faith S Hilary said...

Mmh...mbona kwenu temperature imeshuka mapema? Huwezi kuamini sisi bado tunapata 18 degrees celcius...iko nice but it brings spiders lol!

Unknown said...

Dada kwa hiyo huu sio msimu wa kuvaa vimini huko....!!!!!???

Sisulu said...

ni wakati wa uchumi wa wauza makoti,mablanketi, na vipasha nyumba kuimarika, ndoa ztaimarika pia, sisi huku joto kama kawaida -WASALAAAM huko ughaibuni dada Yasinta

Simon Kitururu said...

Sasa hivi visirani vya kiwinta vitaanza mambo yote kununiana!:-(

Umependeza lakini Dada Yasinta !

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Chib, ni kweli kabisa sasa ndio ule wakati wa kununa na ni ule wakati wa kutowaona majirani.

Kamala, inawezekana ni kweli.

dada Passion4fashion.Tz asante sana labda niache hii kazi niliyonayo na kuanza kazi ya model au unasemaje? Ahsante dadangu

Kaka Bennet, Ahsante ila huu ni mwanzo tu na bado.

Shein Ranger sports club, asante sana.

Candy1, Hongera kwa kuwa bado na joto kiasi hapa hakuna mchezo hasa asubuhi.

Kaka Shabani, vimin unawezw kuvaa ila inabidi utangulize nsuruali nzito kidogo ili isiganfde na baridi.

Tandasi, ni kweli sasa maduka ya makoti wanauza sana . Na asante salam zimefika

Mt. Simon, vipi huku Finland bado baridi haijaanza. Na ahsante kwa kuona nimependeza:-)

Chacha Wambura said...

Naona jhaijafikia hatua ya kuvaa gloves mikononi...lakini mbona huwa hamvai gloves usoni? ..lol

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante chaha Wambura huo ni ubunifu mzuri gloves usoni. Tunavaa mikononi hasa asubuhi.pia hilo koti ni dogo linafaa kwa sasa tu baadaye itabidi kubwa zaidi.

Mija Shija Sayi said...

Umependeza mno rafiki yangu.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana dada Mija.

Mjengwa said...

Da' Yasinta umenikumbusha mbali. Napenda sana majira ya host. Na labda niseme kwa kilugha chenu cha huko. Jag alskar host, det ar underbart period speciel nar lov borja byta farger. Det ar sadan man kan langtar tillbaka till Sverige. Na Natamani pia kuwa Sweden wakati wa winter maana nilipokuwa huko niliweza kujifunza ku-skii na nilipenda sana ku-skii men inte slalom!
Maggid

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mjengwa! Tack så mycket jag tycke lite grann höst och vinter tycker jag inte om. Vad kula att du tycker om at åka skidor. Karibu tena hapa kibazai kwangu.