Sunday, September 6, 2009

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI HII YA KWANZA YA MWEZI HUU:- JUMAPILI NJEMA

Furaha na tabasamu ni tiba ya maradhi yanayomsonga mwanadamu. Aidha, furaha huonyesha uhai.
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!

14 comments:

Unknown said...

Nimekuona, hakika umependeza dada....
Nawe na familia yako nawatakia jumapili njema.

Kibunango said...

Picha nzuri, na imebeba ujumbe wa bandiko! Shukrani

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Dada Yasinta Jag önskar u trevlig söndag och din familj.
Gud välsigne dig

Najua umepita hapo

PASSION4FASHION.TZ said...

Nawewe pia mpenzi,pamoja na familia yako kwa ujumla.

Haya mjumbe hauwawi huko nilikotoka unasubiriwa ukajibu maswali,watu wanasubiri maamuzi yako kwa kifupi ni kwamba Fadhy nae kalikoroga huko kwa mama mkwe wake unahitajika ukamsaidie kuomba msamaha, vinginevyo mke atamkosa.

Shein Rangers Sports Club said...

Jumapili njema na kwako pia dada yetu Yasinta na hongera kwa kazi nzuri MWAFRIKA HALISI!!

Shein Rangers Sports Club said...

Hongera dada yetu Yasinta kwa kazi nzuri MWAFRIKA HALISI

Simon Kitururu said...

Mwanadada umependeza!

Jumapili njema nawe Mdada!
Hivi kwanini umeolewa?
Si ungekuwa tu pekee vijidume tukupiganie?:-(

Faith S Hilary said...

Na wewe pia dada.

Mzee wa Changamoto said...

Duh!!

Yasinta Ngonyani said...

Shukrani ziwafikie wote na natumaini wote mlikuw na j´pili njema kwani mimi nilikuwa na j´pili njema kabisa ingawa joto lilikuwa si kali sana ila inavumilika na namshukuru Mungu kwa yote. Ahsanteni.

Mzee wa Changamoto said...

Watu wengine Bwana. Eti huyu rafiki yangu ananiuliza kama hiyo ni pete. Nimemtafutia MAGNIFIER aone vizuri maana nimejitahidi ku-zoom picha anajifanya kipofu.
Hahahahaaaaaaaa. Asante kwa kuiweka wazi

Yasinta Ngonyani said...

Mzee wa Changamoto! Je? rafikiyo sasa ameona nini.....LOL

Shein Rangers Sports Club said...

X MAS NJEMA

Shein Rangers Sports Club said...

X MAS NJEMA