Saturday, October 25, 2008

USAFIRISHAJI WA ULANZI



Hapa tayari ulanzi unatoka kuchokuliwa na sasa ndio unapelekwa kwa wateja. Kuna njia nyingi za kujitafutia maisha na pia ushafirishaji.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

hakuna kula bila kufanya kazi, kutafuta pesa kazi sana angalia watu tunavyohenya