Thursday, October 23, 2008

PEMBA -ISLAND


Sio nyasa tu hata hapa pazuri au mnasemaje. Najua Kaka Markus atabisha tu shauri yako utajiju mambo ndiyo hayo tena

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

hapa eeh bwana we ukiwa na bia baridi na umekaa hapa unapunga upepo. Na bila kusahau kitabu cha ambacho ukipendacho halafu acha komputa,simu kila kitu ambacho unaona kitakubugudhi utaona raha yake.