Friday, October 31, 2008

TUFUNGE MWEZI KWA MICHEZO

Basket, huu ni mchezo wangu ambao naupenda kuliko michezo yote. Na nilipokuwa msichana mdogo nilikuwa naufaidi kweli lakini sasa mmh uzee.

3 comments:

MARKUS MPANGALA said...

hakuna kama soka dadangu!!!!! yaani soka ni MWANZO-MWISHO

Yasinta Ngonyani said...

Kwa wewe sawa lakini sio kwa mimi

Yasinta Ngonyani said...

halafu pia ni mfunga magoli mzuri sana. michezo raha sana