Wednesday, October 29, 2008

MAVAZI WAKATI UKIWA MJAMZITO


Hata akina mama wajawazito wanatakiwa kwenda na fashion. Wengi wanafikiei ujauzito ni ugonjwa.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mimi ningependa kuvaa gauni kwani unakuwa huru hakuna kubnwa

MARKUS MPANGALA said...

fasheni gani mtu unaujauzito unavaa fasheni ili uwanogeshe wanyasa? unataka kuwapa HAMU wanyasa etiiiii? ha ha ha ha kuwatamanisha wanyasa eti umevaa kisuali kama huyo dada mmm halafu kawowowo kanatikisika kwa mbaliiiii si mnajua namna ambavyo wajawazito wowowo zao zinatikisika kimtindo? ha ha ha habari ndiyo hiyooooooo

Anonymous said...

Nakushauri uoe ili ufaidi haya mambo