Saturday, October 11, 2008

LIZOMBE NGOMA YA WANGONI


Oktoba Mosi huwa siku ya wazee. Hapa unaona wazee wakiwa wakiselebuka kwa ngoma ya Lizombe katika Manispaa ya Songea, kwenye bustani ya Manispaa Songea.

6 comments:

MARKUS MPANGALA said...

jamaa anakatika viuno utadhani yule dada alieimba hips don't lie, eti we Yasinta anaitwa nani vile. hapa ukitoka kila kitu inauma

Yasinta Ngonyani said...

sana hapo mpaka limpya mpaka ugimbi uishe au? samahani hata mimi nimesahau yule dada anaitwaje. kweli ukitoka hapo kila kitu/ mwili wote nauma. mpaka lukela= mpaka asubuhi.

Simon Kitururu said...

@Markus +Yasinta:Anaitwa Shakira!
Unanikumbusha Songea.Nilianzia shule ya msingi Mfaranyaki songea enzi hizo.Lakini tokea mwaka 1986 sijawahi kufika:-(

Yasinta Ngonyani said...

Ehh jamani basi karibu sana songea tena kwani sasa kumebadilika sana. toka Mor mpaka Songea sio mbali. Na asante tena kwa kunitembelea sasa nakumbuka kweli ni Shakira kwani anajua sana kunengua

Anonymous said...

Mambo ya kunyumba hayo,si mchezo..

Anonymous said...

Dadangu Nya/Nangonyani,nivi koni kumarekani.niliwene lizombi hapa yaani mpaka niselebwiki kweli,yaani penapa mpaka kiwunu kivina.
Nimejiona nipo Kusongeya kabisa nde penyeapa mwenzako,mbona!

Nene na kakayaku,lihina langu na Georges Nsayanu Ngonyani.

Halo veka na mganda mau.Yaani,mboni raha sana penapa?