Saturday, October 25, 2008

CHAKULA+HAMBAGA+KOKA-KOLA ULANZI NA KOMONI


Jamani, wote karibuni tushiriki chakula hiki. Hakika siwezi kumaliza hambaga yote hii. Ila chizi haipo ya kutosha na kwa mnaotumia koka-kola ipo ya kutosha tu. Ulanzi na komoni pia myakaya vipo, na mnaotumia vinywaji vingine mje navyo wenyewe. KARIBUNIIIIII.

2 comments:

EDWIN NDAKI (EDO) said...

vipi mbona leo kimya hapa...

au umeshakula hilo limososi alilobeba huyo mama umeshiba umeamua kupumzika?

Haya..jpili njema

Yasinta Ngonyani said...

Mmm limososi hili mwenzangu limenipa usingizi kweli. Jpili njema nawe pia. Karibu tena