Thursday, April 24, 2014

VAZI LILILOPENDWA NA KAPULYA WIKI HII!!!

 
NI DADA YETU NURU
Vazi hili limenivutia sana, kwanza ni nzuri  kwa rangi na lilivyoshonwa na pia la heshima. Nimelipenda sana. ....PICHA  nimeipata hapa.
MUWA NA SIKU NJEMA.2 comments:

Bashikulu Mligo said...

Iko hivi dada Yasinta, ukiacha uzuri wa vazi ambalo nami nimelikubali,
lakini hata mvaaji naye ni beautiful.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu mligo! Nakubaliana nawe kabisa inawezekana mwingine akalivaa hilo vazi na likaonekana vingine kabisa...