Sunday, April 20, 2014

SALAMU ZA PASAKA KUTOKA KWA KAPULYA WENU!!

Nawatakieni Kheri na Baraka tele  za Mwenyezi Mungu kwa Ufufuko wa Mkombozi wetu Yesu Kristo. Yasinta na Familia.

Naona tumalizia na wimbo huu kwa kumshangilia bwana Yesu!!

AU TUENDELEE KIDOGO NA HUU PIA

PASAKA NJEMA !!

4 comments:

Anonymous said...

Heri ya pasaka pamoja na familia yako.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana. ..nawe na familia yako muwe na kheri sana.

Manka said...

Asante Dada Yasinta,nawe pia pamoja na familia yako

Yasinta Ngonyani said...

Manka ndugu yangu! Ahsante sana nawe pia familia.