Friday, April 18, 2014

LEO IJUMAA KUU...NDIYO SIKU AMBAYO BWANA WETU YESU KRISTU ALIKUFA MSALABANI KWA AJILI YETU.....


PASAKA NJEMA!!

5 comments:

sam mbogo said...

Leo ni ijumaa kuu,tunakumbuka kuteswa nakusuribiwa/kusurubiwa kwa muokozi wetu yesu krisitu/kristo. kumbukumbu hii ni muhimu sana kwa wale wanao amini yesu ni bwana na ndiyo muokozi wetu. asante dada Yasinta kwa kideo . pia namimi nawatakia sikukukuu njema ya pasaka, nakaribuni nyumbani kwangu kwa chakula siku ya jumapili.tuendelee kuzungumza na mungu na kujiweka tayari kumpokea yesu siku atakapo rudi.kwangu mimi ulokole nikila siku kabla sija lala ninapo mshukuru mungu kwa ulinzi wake wa siku nzima na ninapo amka salama asubuhi humtukuza aliye hai nakusema ASANTE BABA KWA KUNIOKOA. kaka s.

NN Mhango said...

Da Yacinta sijui kama huyo bwana wenu aliwafia hata waswahili ambao hakuwa na habari zao. Anyways, nakutakia sikukuu njema hasa aikizingitiwa kuwa imani ni suala binafsi. Ninachoogopa ni kutuweka sote utadhani tunahusika.

Nicky Mwangoka said...

Nakutakia nawe Ijumaa kuu njema. Tumshukuru Yesu kwa kutufia pale msalabani.

John Mwaipopo said...

nakutakieni pasaka njema wewe na familia yako

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni kaka zangu nami nawatakieni PASAKA NJME SANA PAMOJA NA FAMILA.