Friday, April 11, 2014

NAPENDA KWATAKIENI MWISHO WA JUMA KWA USEMI HUU KWENYE KANGA HII!!

Muwe na mwisho wa juma mwema sana wote. Pia kama ulimkosea rafiki, jirani, ndugu, au mtu yoyote sasa ndiyo wakati mwafaka wa kumsamehe maana wikiendi ijayo ni PASAKA. IJUMAA NJEMA!!!

10 comments:

Ester Ulaya said...

ASANTE SANA DADA...NAW PIA

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana mama Alvin mdogo wangu...Natumaini mvua zimepungua sasa!

Rachel siwa Isaac said...

Asante kwa ujumbe KADALA...Nanyi muwe na wakati mwema.

sam mbogo said...

umenikumbusha kuhusu hizi kanga, siku yakwanza nilipo mtokea mdada ambaye ndo mkewangu sasa ,alikuwa na kanga kabisa kwenye mkoba ,cha kunishangaza yeye si mbongo wa la mwafrika nikajiuliza haya mambo ya kanga kayajuwaje au kayajulia wapi nikajuwa hapa sasa nataka kuonyeshwa mavitu ya kibongo na siya huko kwao. nabaadaye ilekanga ilikuwa imeandikwa tunda nilako ule kwanafasi.hakiyamama walahi! kanga zina mambo.

Yasinta Ngonyani said...

KACHIKI! Ahsante alo maana hata maboxi leo napumzika kuyabeba:-)

Kaka Sam! Duh! hii kali kwelikweli mmhhhh naona ninyamaze hapa....

Rachel siwa Isaac said...

hahhahahaha...kaka Sam Mbogo..!!!!!!!

sam mbogo said...

mnagunaguna nin?i wewe rachel na mwenzio Yasinta kuwahabarisha kidogo tu imekuwa taabu. haya usiku mwema na mlale salama ,kaka s

Rachel siwa Isaac said...

Tumefurahia kaka SAM...Wifi kanifurahisha sana tuu...

Nanyi mlale salama.Asante.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Sam !sio taabu ni raha ......hiyo ni miguno ya raha kusikia wifi anapenda kanga...Asubuhi njema:-D

Eti eeehh! Kachiki ilikuwa ni furah tu. Yaani kaka anataka hata tudifurahi jamani. LOL

rahaa zenji said...

Sijafahamu nini kimekusudiwa maana hapo maneno ya kanga mwenye ufahamu anijuze