Sunday, April 13, 2014

MVUA NI NZURI LAKINI SASA JIJI LA DAR ER SALAAM LIMECHAFUKA KABISAPIA MIKOANI/MAFURIKO MAKUBWA

 Hapa ni ni Dar na hilo ni basi la shule linavyozolewa na maji ya mvua
Halafu sasa sio Jijini tu hata huko Mikoani nako si kuzuri angalia hapa kwa kujikomboa ameamua kukwea mti...Mungu ibariki Tanzania

8 comments:

Anonymous said...

Mwenyezi Mungu awanusuru kwenye majanga ya mafuriko, Inshallah. By Salumu.

Ester Ulaya said...

hali ni mbaya mnooo....Mungu atunusuru

Yasinta Ngonyani said...

Ndiyo kaka Salum na mama Alvin. Nina imani maombi yetu yanasikika na tusicho kuomba.

NN Mhango said...

Siku hizi Bongo nao wana mabasi ya shule au Songea hapo? Mbona basi lenyewe yellow kama Canada na Marekani? Nisaidieni jamani?

Ester Ulaya said...

Ame dada hali ni mbaya mnoo

Yasinta Ngonyani said...

Yapo mabasi ya shule rangi ya njano hasa katika shule za watu binafsi.

NN Mhango said...

Wow! Natamani na LUHUWIKO YAWEPO. Nimetoka miaka mingi hivyo mambo mengine yananipiga chenga.

Yasinta Ngonyani said...

Usikonde kaka Mhango...si muda mrefu RUHUWIKO PIA YATAKYWEPO...NA UKIZINGATIA WW NI MWAL..basi itakuwa safi sana.