Friday, April 25, 2014

TUMALIZA WIKI NA SIKU HII IJUMAA YA MWISHO KWA MWEZI HUU KWA NGOMA HII YA ASILI:- MGANDA


Ni Ngoma ya asili ya wanyasa ichezwayo na wanaume katika ukanda wa ziwa Nyasa... IJUMAA IWE NJEMA SANA PIA MWISHO WA JUMA KWA WOTE!!!

4 comments:

Nicky Mwangoka said...

Nimeipenda sana inanikumbusha 1997 nilipomtembelea rafiki yangu Mhagama huko kusini mwa Tanzania.

Anonymous said...

meipenda

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Nicky... ni furaha kusikia kumbukumbu imeibuka..karibu tena kwetu kusini

NN Mhango said...

Hii kitu imetulia na it is very meaningful. Wamekosa soksi na vitambaa vyeupe lakini spirit ni ile ile. Bravo sister Yacinta.